@royalmediatz Lakini walio onja asali kwa mifumo hiyo wanayoiona kwao inafaaa kwa sababu yakutokuheshimu katiba hata penda katiba Mapya na bora ndio maana wasomi wetu wa Africa wanakuwa chazo cha migogoro mingi Barani Africa π, kwa kutokuheshimu misingi Mizuri ya katiba zao, .
@royalmediatz Akumbuke Katiba ni njia kuu inayoonyesha Mapito katika utaribu wa kisheria,,ili watu waishi nakupata maendeleo kwa taratibu nzuri katika mifumo yakiutawala ,I la Africa tumekuwa na taratibu zakuto kuheshimu katiba na misingiya sheria tuliojiwekea,
@jamiivoice Ni vizuri Habari ikawa pande zote nfio maana hata mahakama ili mtu aonekane Ana Kosa pande zote mbili lazima zshirikishwe ndipo majaji hitoa hukumu Nani mkosa ,Sasa wao walishahukumu Kisha ndio wana unda tume!kwa muhtaza huo lazima tume ipike matokeo ya ukandamizaji
@zoetjesheeftX Hapana muwekaji hajakosea Bali ni maelekezo ya Imani za siri rejea kwenye taarifa za siri za muyahudi yule wa USA Apsten alienda kuiba kitambaa cha Alkaaba kule Makka nawawakawa wankikanyaga kufanyia makafara Yao kwa kifupi watu Wana dini za siri wanazoziabudu,
@eastafricatv Ingekuwa jambo jema sana kwa viongozi wa dini kuangalia hali ya waumini na hali ya viongozi wa dini vijjini na mikoani, wanahali ngumu sana zamaisha, maadhimisho hayo yangeangalia shida, na hali zao ingekuwa jambo jema sana nadhani imani na uadilivu vingeongezeka,
@ChiefKipengele @Deo18Tarimo Hakika umenena vema shida yetu africa ni mifumo, kuna mambo ni haki kwa kila mtu kuyapata, lakini waliopewa dhamana hizo hawazitendei haki hongera sana dc kisarawe,je ? kigoma hakuna viongozi wanaoguswa, nawenye shida kama hizo,!!!? Tuongoze vema tupate baraka kwa mungu.
@MrSato24 @HANSJR_ Waoo wamechagua kujifananisha nawanyama ,pia wamichagua Kukaa uchi ili kuvutia biashara zao, ili wapate wanunuzi, huko kwenye masoko ya biashara zahivyo ndio maana wanatumia vilevi ili wasione aibu.
@mzeewakaliua Kwani tunaamini hawa niwatetezi wa maslahi ya nchi nawananchi!!!?katika kujenga nchi !!!hawa asilimia kubwa ni watu wa maslahi binafsi!! Mtu anamaliza miaka yake ya ubunge hata siku moja hajaitisha mkutano na wapiga kura wake kuwasikiliza!!,utasema huyo!kiongozi!!!?
@nyuki_malkia Mtoto wakike kwa asili ya umbaji ndio starehe ya mwisho ya asili duniani pata pesa, safiri kila sehemu duniani lala sehemu nzuri sana ,kuwa jambazi lakini hitmisho la mambo yako ni maua ambayo ni mwanamke, hiyo ni asili ya maumbile ya dunia.