Akina Mama na akina Dada wa Korogwe, Mashujaa wangu hii ni kwa ajili yenu👌🏽Tunakwenda kuwawezesha kwenye shughuli zenu za kiuchumi. Stay Tuned!!
Asante sana rafiki zangu kutoka @KwanzaLtd#WomenLead 😍
Mkomazi, Korogwe.
Tunafahamu kumekuwa na changamoto za tembo kwenye maeneo yetu.
Hivyo basi, nimefika kitongoji Cha Mkameni, kijiji cha Mkomazi, kata ya Mkomazi pamoja na viongozi wa chama na serikali kutoka Kata za Mkumbara na Mazinde kuwahakikishia wananchi kuwa tunafanyia kazi changamoto za wanyamapori kuingia kwenye maeneo yao.
Usalama wa wananchi ni kipaumbele cha serikali yenu.
#HABARI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, ametaka madaktari na walimu wasiwe wasimamizi wa miradi ya ujenzi inayotekelezwa katika maeneo yao ya kazi huku akisisitiza kuwa sio taaluma yao na ni matumizi mabaya ya rasilimali watu.
Badala yake, ameutaka Uongozi wa Halmashauri zote nchini hususan Halmashauri ya Mpwapwa kuhakikisha inaachana utaratibu huo, iajiri wataalam wa fani ya ujenzi kwa ajili ya kusimamia miradi yote itakayokuwa ikitekelezwa katika Halmashauri hiyo ili iwe ya viwango vya ubora kama ambavyo baadhi ya Halmashauri zingine zinafanya.
"Kwa sasa majengo yetu yanajengwa na walimu na madaktari na badala ya kujengwa na wahandisi wa ujenzi, hili halikubaliki hata kidogo," amesititiza Mhe.Simbachawene
Amefafanua kuwa walimu au madaktari wanaosimamia miradi hiyo ya ujenzi sio kwamba ni wabadhirifu lakini kwa kuwa sio taaluma yao hivyo ni vigumu kuona na hata kushauri pale ujenzi unapojengwa chini ya kiwango.
#EastAfricaTV
Rais Samia Suluhu Hassan amekabidhi boti 34 wilayani Kilwa mkoani Lindi ambazo ni sehemu ya boti 160 za mkopo wa masharti nafuu zilizotolewa kwa wananchi.
Kati ya boti hizo, boti 139 zitawanufaisha wavuvi wadogo na boti 21 kwa wakulima wa mwani ambazo zimegawiwa kwa wahusika maeneo mbalimbali nchini.
@ikulumawasliano@LupilaConstruc1
👉Je!Unajua unaweza kuanza ujenzi wa Nyumba ya Chaguo lako kwa Malipo ya awamu 3?
👉Tutakushauri na kukuandalia ramani ya Nyumba ya mahitaji yako
👉Tutakuandalia gharama za ujenzi
>Arusha,Dodoma,Mwanza,Dar,Zanzibar
#0752565425
#MilikiNyumbaSasa
🔴TANZIA:
Daktari Bingwa wa Watoto Dr Augustine Massawe wa Furaha Medical amefariki Dunia leo Jijini Dar es Salaam
Taarifa kutoka kwa familia ni kwamba Dr. Massawe amefariki asubuhi hii katika hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa siku kadhaa kwa matibabu
Dada yangu huyu tangia nafika alikuwa ananifuata nyuma. Alijitambulisha kama fundi mshonaji nguo na aliomba kunishonea angalau nguo mbili nionje ubunifu wake. Nikamuachia kitambaa nilichopewa zawadi akishone.
Nawatambulisha Salma fundi wangu mpya wa nguo kutoka Tandika, Temeke.