@fatma_karume Basi kama walitakiwa kutangaza ajira za walimu WALIOJITOLEA KULIKO KUWAFANYA WATANZANIA WAJINGA KIASI HIKI KWA KUWAPOTEZEA MUDA , na kuwaaminisha watapata ajira kumbe ajira ni kwa wale tu waliokuwa wanajitolea . Haijalishili hata kigezo cha muda basi ww umekaa hujaajiriwa.