@YoungAfricansEN Wanetu hamna habari kabsa na kile knachoendelea. Wenzenu huko yakitokea maafa wanakuwa mbele maana ni kioo cha jamii au mnadhan ile "no room for racism" imewkwa TU, nyie yametokea maafa hata kuweka neno juu ya hicho kitu hamtak na wamefanyiwa watu wenu. Hamfai
Mi kaniambia twende tukafanye kazi
Mi mwenyewe mtu wa kaziii,
Sina hela niache kazii,
Siwezi nikaacha kazii,
Kwa hiyo hauna kazi au hela..?
Hela Sina na kazi Sina ๐๐๐
@Finah_Business@salmakorosho Hii tabia ni watu binafsi wala Sio Kabila, jiran zangu ni WA Arusha na mwingine ni WA iringa , saa 12 ashawasha mziki, saa 3 usiku mziki unapigwa vibya