Hii kauli kwani inashida gani kwani hamjui chama kinachoshinda uchaguzi ndio kinaunda dola/serikali? leo hii Chaumma wakishika dola nao wataunda serikali yao na mihimili yote itawatii, Sasa kama unasusia uchaguzi na kutaka kupindua serikali iliyoshika dola utabaki kutoa milio tu.
Ila huyu Shemale kweli hayupo sawa, yani jana tu kashindwa kujitokeza huku New York wakawapa kazi mabeberu wawili wapige picha then watumiane na kina Mange ili wasambaze alafu mtu kama huyu leo anakutaka wewe uandamane, akili za kuambiwa changanya na zako.๐๐ซต