@AlexSamoja Kaka kale ka vitinya kakiwa kule shuguli yake ua sio poa anakata uwanja mzima na mpira ๐๐ huku timu ya taifa wako na southgate unategemea atafanya nini sasa.......
@JMariotz@VKaanaeli Walilipa sh ngap mkuu na mateus amenunuliwa sh ngap, na tonal kanunuliwa sh ngap je umeangalia na mishahara yao ๐๐ au kwa sababu ni man u......