@MsafiriTraver@IAMartin_ kama ilivyo chama Tawala kinavyotawala hii nchi na hivyo hivyo Ndivyo BAKWATA inavyotawala waislamu. na BAKWATA NA CHAMA wana ndoa ya milele.
hata rais awe mkristo afanye yanayofanyika hawajuagi kutoa hata tamko ,wakitoa tamko ujue wamesifia had karibu kukufuru ,otherwise kimya.
@MTUmakini1@Phbhimself Kwa Mujibu Wa Quran/Sunna, zamani watu walikua wanaishi miaka 500 had 1000 ,enzi za Nabii mussa kuna kijana alifariki akiwa na miaka 400 ,mama yake alilia sana akisema mwanae kafa akiwa mdogo sana ,ila mussa akamwambia kuna kizazi kitakuja wataishi miaka 60 tu ...
@GastoBruno29578@kaji_sijo kila mwanamke anatoa maji ila watoaji ndio tatizo ,kwa mara ya kwanza kuzibua inahitaji michezo mingi sana halaf baada ya hapo anakua anamwaga tu water kila akitaka , mwanamk pia anaweza dhani huwa hatoi ila akikutana na anaejua kuzibua anazibuliwa vzr tu..
@itzcasampaiderz@DullahTheking2 broe umewaza kama mimi ,angekuepo Nenga ingekua ya moto zaid , nilivyoskiliza hii tu nikaenda kuskiliza na Bedroom Remix ,Nenga ni mtu broe
@eyooken@ExMayorUbungo sio ndugu yako ndiomana , ata kama angefanya fujo kiasi gani bado hawana haki ya kumuua.. Siku likikufika nawewe utaelewa mkuu ila kwa sasa fanye maisha ya mlinzi hayana thamani.
@Labella_Mafia95 sio lazima ufanye kila dhambi ,
dhambi zingine zinakupita na unakua una msimamo huzitaki..
Wengine hawanywi pombe ila wanakula Bangi ,Haimaanishi Bangi n halali ila Mtu huchagua dhambi yake aende nayo..
@ZPlanmaster peter Drury: ,โManchester united is the most consistent team, one win in August, one win in September, one win in October, one win in November, one win in December, its just like menstrual cycle!!
if they donโt win in January know dat they are pregnant".
@mbwanajumamoha1@millardayo Mtume wetu (S.A.W) alishasema karne nying sana nyuma sema tu hawautak uislam ,masaa mawili baada dhuhri then Alasri ikikute umeamka , Usingiz baada ya Alasri unaleta ugonjwa..Naam
@nyuki_malkia Bibi harusi mtarajiwa ameshika spana kama pen ,๐๐ ,ila hyo spana n ya kufungulia nati za matairi sio huko kwen engine.., photoshoot Ya pre wedding๐