🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄
Mchezaji wa Bayern Michael Olise 🇫🇷 amefuta picha zake zote kwenye ukurasa wake wa Instagram na Kubakiza Posti Moja Tu!!!.
Picha Aliyoiacha ni ya mchezo wake wa mwisho dhidi ya timu ya taifa ya ufaransa 🇫🇷 na hii inatajwa Kama dalili ya Kuwa tayari kujiunga na maisha mapya Katika Klabu ya Real Madrid Ambao Wanamuhitaji.🤯🥶
#MeaMswahiliUPDATES
Nico Williams aliwahi kusema haya kuhusu mama yake:
"Mimi nakimbia kwa kasi, lakini siifikii kasi ya mama yangu. Alikwepa kifo na kuvuka Jangwa la Sahara kutoka Ghana hadi Hispania. Nilimpa medali yangu kwa sababu anastahili kuliko mimi."
Nowadays if a player's agent sneezed, Fabrizio Romano will be there😭
How i miss the days when Wenger walked into press Conference with Spurs captain Sol Campbell & shocked journalists
Arsenal tunaanza msimu wa 2026/27 hapo Premier League:
Coventry (h)
Aston Villa (a)
Chelsea (h)
Sunderland (a)
Brighton (a)
Leeds (h)
Nottingham Forest (a)
Everton (h)
Itoshe kusema Ubingwa wa EPL tunachukua mapema mnoo! 💪🏿
Rais Ruto ameikaribisha timu ya Arsenal nchini Kenya ili wafanye parade na mashabiki waliopo nchini humo. Jambo hilo ni kufuatia timu hiyo kubeba ubingwa wa EPL baada ya miaka 22 kupita. Rais Ruto ambaye pia ni shabiki wa Arsenal amasema ametuma mwaliko rasmi kwa timu hiyo.
Wakati EPL wana release ratiba ya msimu ujao ,huku NBC premier league,mechi hazijaisha, MVP wa last season hajulikani
Moja kati ya ligi zinaendeshwa unprofessional,kitapeli ,kijanja janja basi ni NBC. premier league
@ShafourQ@WideEdson Bruno alikua na option nyingi hio ya Nyuma adribble kwenda mbele au ahold na kupiga pasi kulia kwake kwenye wing. Inshort hii ureno watapata taabu sana huku WC wasipobadirisha akili zao na kucheza kitimu. Mambo ya kujua huyu ni Ronaldo huyu ni Bruno. Wanaaga mapema sana hawa😂😂
#TajiriLaKihaya
Tofauti ya Ronaldo na Messi KWA Sasa…
Argentina kila mchezaji anataka kumpa Messi pasi Afunge…. Hakuna anaetaka kuonekana Star kumzidi Messi!
Ila Portugal 🇵🇹… Akina Bruno Fernandez’
tayari washajiona warithi… wanataka kumrithi ronaldo akiwa BADO yupo kikosini…
Wanamuona Kama competitor KWA Sasa…Kila mchezaji anataka kufunga!
CR7 bila penalty au kichwa- Ngumu kufunga leo😅