@diana_samsoni@prossoff Huelewi. Kamaanisha wengi waliosoma hawajatulia ukilinganisha na wasiosoma. Sio kwamba hakuna wasomi waliotulia ila ndo kutafuta kwa Tochi yaani kama kwenye 100% basi wapo 10% ila wasiosoma ni wengi sana wametulia ukilinganisha na vicheche assume tabia ya mtu inabaki constant
@JLupaking@prossoff Huelewi. Kamaanisha wengi waliosoma hawajatulia ukilinganisha na wasiosoma. Sio kwamba hakuna wasomi waliotulia ila ndo kutafuta kwa Tochi yaani kama kwenye 100% basi wapo 10% ila wasiosoma ni wengi sana wametulia ukilinganisha na vicheche assume tabia ya mtu inabaki constant
Nitachangia shilingi 300,000/= ili tusambaratishe lile penzi. Mwanaume mwenzetu hawezi tumbukia shimoni tukamuacha tu. Wanaosema tunajipa umuhimu wajue ni kweli sisi ni muhimu
Kiukweli tunasahau haraka ilitakiwa kila mtu akiamka tweet ya kwanza ni #FreeTunduLissu
Tunamhitaji TAL kwenye siasa za nchi yetu sasa kuliko wakati wowote
@SamsonErnest_ Uhusian na Mungu unajengwa kwanz na uhusian mzur na binadam mwenzako Sio kwa kwend kansan wala kusoma biblia maan alituumba kwa mfan wake so ukipata na jiran bas unakua umepatana naye tofaut na hap unakua ni unafik Huwez mpenda Mungu usiyemuona halfu ukamchukia binadam unayemuona
UBORA wa mtu hauji kiraisi mzee
1. Hakuna kuskip - Fanya kila siku
2. Hakuna kuacha - Hata ukiwa umechoka
3. Hakuna visingizio - Hata ukiwa hauna mood
Unless ubaki kuwa KAWAIDA.
@SamsonErnest_ Kwa hiyo kwa wale wasioamini Mungu yupo hawawezi kuwa na uhusiano mzuri na watu?
Nisipokuwa na uhusiano mzuri na Mungu siwezi kupatana na aliyenikosea?
Nakuaje na uhusiano na Mungu ambaye simuoni(imani tu) halafu yule nayemwona nisiweze kuyajenga tukikoseana? Nijibu kwa akili.
SIMBA CHAWENE anasema “polisi wakipata AJALI WANANCHI WANASHANGILIA” mzee sio tuu kushangilia sisi wengine ni sherehe mbuzi anadondoka kama shukrani kwa KIDOGO anachotupa Mungu wetu.
Hawa WAPUMBAVU (polisi) wamekuwa wakipiga watu nje ya MAHAKAMA, wanateka watu wanaoenda MAHAKAMANI na kuenda kuwatesa na kuwatupa maporini huko na mnataka WAKIPATA AJALI TUUMIE?
Hawa polisi wamekuwa wakiuwa wananchi na ushahidi upo wazi oktoba 29 walizima mtandao na KUUWA WATU majumbani kwao zaidi ya ELFU KUMI unataka wakipata AJALI TUUMIE?
Na hii sio kwa POLISI TUU HATA WEWE CHAWENE UKIFA tutafurahia vibaya mno. Salamu hizi zifikie WAPUMBAVU WOTE wanufaika wa utawala wa DAMU hii chuki haiishi leo wala kesho. Mtavuna mlichopanda.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
@angelocane69@shabanizambo@Sativa255 Toba ni wewe na Mungu wako wakati umewakosea watu? Unatakiwa uwaombe kwanza msamaha ndipo Mungu na yeye atakusamehe lakini kwa majuto ya kweli kwamba kitendo kule hutorudia. Wema/Uovu anafanya binadamu Mungu anakupa tu kile ulichopanda so unatenda kwanza wewe yeye anakamilisha tu