@MarekaMalili Sasa ukute mtu ametoka zake Ilalila huko anaenda Buhongwa katulia zake bado anausingizi maana lazima awe ameamka mapema tu halafu umkanyage mtaelewana kweli?๐
@bonifacejoseph_ Bony unauhakika TTCL hawajainvest kwenye fiber?, ukitoa huduma ya NICTBB huduma inayofuata kwa investment kubwa kwa TTCL ni Fiber internet!