@ManLikeFrey Being petty and stupid is something that one can not be proud of. CDM or not shida yetu wananchi iko pale pale open na kila mtu anajua. We kuuwa haimalizi hiyo shida. Kudogosha wengine haimalizi hiyo shida na hapa ndio tunapouona ujinga wako kushabikia ujinga ukijiona unazo akili
@ManLikeFrey Hamko serious kabisa. Mnarindimisha risasi majumbani yaani huko ndio kuna wanamapinduzi then wao hawana cha kujibu. Wale wahaini wote mlioua miili yao imefanywaje????
@ManLikeFrey Unajua kama wale watoto wangekuwa wako au unaundungu nao naamini sasa hivi ungepanga hayo mapinduzi. Wakati wa mwalimu yalipangwa mapinduzi tena na wanajeshi mbona hakuna aliyekuwa zaidi ya Tamimu???? Leo watoto wanaaandamana, wanafanya fujo za maandamano unayaita mapinduzi????
@selemasaki Kwa hiyo kabla hajaja kutafutwa maana yake afutwe kwanza askari??? Then hapo umepalilia nini kama si vita??? Assumption mnatisha watu kama wasipotishika???
@HakiBalozi255@ChademaTZ2@HecheJohn@godbless_lema@jjmnyika Wewe ni nusu mnyama kwa kuwa unapotosha. Msimamo wa CDM wa No reforms No election uliwekwa wakati wa Mbowe na wewe uligombea ukijidai utausimamia. Leo unajidai maridhiano. Unadhani watanganyika bado wa miaka ile??? Hamkujifunza kwenye uchaguzi wenu???