Leo tarehe 26 Julai 2026 mimi PETER MADELEKA natangaza rasmi KUACHANA NA SIASA ZA ACT WAZALENDO.Nafanya hivyo ili nipate MUDA WA KUTOSHA kuungana na WAPENDA HAKI wote katika KUPIGANIA HAKI na USTAWI wa nchi yetu.Tanzania yenye HAKI Inawezekana kama kila mtu ATATIMIZA WAJIBU WAKE.
Umenikumbusha kipindi nikiwa chuo UDSM nilipopangiwa mafunzo ya vitendo katika Ofisi za Ardhi za Manispaa ya Kinondoni, kipindi kile ofisi zikiwa Mwananyamala.
Kwa sababu ya hali ngumu ya maisha ya chuo, nilimuomba mshikaji wangu wa IFM nikae geto kwake magomeni Kagera, karibu na Popobawa, ili iwe rahisi kutembea kwa miguu kutoka Magomeni hadi Mwananyamala kupitia Kisiwani.
Siku moja hali ilikuwa mbaya sana. Sina hata mia mfukoni. Mwenye geto alikuwa ameenda likizo Tunduma, hivyo nilibaki mwenyewe. Njaa ilinipiga kweli. Bahati nzuri akaja mshikaji mwingine kunitembelea, lakini naye hali ilikuwa ngumu alikuwa na shilingi 500 tu, tena chenji iliyobaki baada ya kulipa daladala.
Basi akaenda gengeni na 500 yake, akanunua viazi mviringo na nyanya. Akavichemsha vile viazi vya mviringo, akaviunga kidogo, kisha tukapika ugali. Mboga yetu ikawa viazi! πππππΏππΏ
Aisee, mimi nimezaliwa kwenye familia ya kawaida kabisa. Enzi hizo soda, wali na pilau vilikuwa vyakula maalumu. Lakini pamoja na maisha hayo yote, sikuwa nimewahi kuona wala kusikia mtu anakula ugali na viazi kama mboga! πππ
Jamaa akaenda mbali zaidi akasema:
βHata maembe ni mboga bana!β ππππ
Kweli umaskini una mambo yake. ππΏππΏ
Mpaka leo sijawahi tena kusikia mtu anasema maembe ni mboga, ndiyo nasikia tena kwako @zed_ogtz ! πππΏ kwetu Songwe pamoja na umaskini wetu ila ugali na maembe sio mila wala mazoea yetu.
Daah, maisha ya Dar es Salaam yametuonyesha kila aina ya rangi. Lakini jambo moja ni kwamba hatukuwahi kukata tamaa. Tulivumilia, tukajifunza, na tunaendelea kupambana.
Leo tukikumbuka tunacheka, lakini wakati ule ilikuwa ni survival ya kweli. πͺπΏπͺπΏ @Uherry14 mengi sio ushua ni mila au mazoea ya jamii fulani mimi nimekula ugali na chumvi au asali lakini wapo watu licha ya kwamba ni maskini ila hawajawahi kula hivyo wala kusikia kwamba unaweza kuchoma ugali ukalaπ. Tupambane tu kukimbia umaskini.
@INFLUENCERjr Atacheza Simba kama raia wa Tanzania na sio wa kigeni.Hiyo ndio faida kwa Simba na sio kwa Tanzania.Pia lile goli la Dunia litahesabika lilifungwa na mchezaji wa Tanzania.Chagua kunielewa au kutokunielewaπ
@ayubu_madenge Sasa njoo kwa sisi waislam na wakristo tunaokaa Bonyokwa uone jinsi tunavyojifanya tunaijua dini uone tunavyotokwa na mapovu kuhusu hizi Imani.
@franklin_tissa Ndio.Maana mtu wa dizaini hiyo hana tofauti na maiti.Tofauti ya mtu dizaini hiyo ni kua maiti Moja inakua kaburini halafu maiti nyingine inatembea.
@SharonMontana20 Umetaabisha vidole kuandika usenge tu.Kwamba Lissu alishawahi kua kwenye nafasi ipi serikalini ya kuambua mustakabali wa maisha ya walipa Kodi wa Tanzania?Haya basi sema mabaya yake unayoyajua ufarijike japo kwa dkk https://t.co/XvygFfGBbG'ombe wewe
@Nyakaiba@Adventure_36 Kwamba huwezi kua PhD holder au hata professor kabisa halafu ukawa mjinga mjinga?Hata ww na huo uchumi wako uliosoma inaweza mjinga vilevile.Unawa kua daktari,mchumi,mhandisi but when it comes kwenye mambo mengine ukawa taahira tu.Unaweza kusoma halafu usielimike.Baki hapo
@YerickoNyerereT Kwa jinsi unavyoionyesha sura Yako halisi Sasa itakua umeshiriki kuwaua na kuwaua wapinzani wengi sana hapa Tanzania.Ww ni mshenzi, na shoga mwili mzima.Kilichobaki kwenye ubongo wako kwa Sasa ni Akili ya kulegeza macho tu.