@jaliluzaid Mfumo ulianzia Rwanda... na baadae wakasaidia kuufikisha huku. Baada ya wabongo nyoso kupata uelewa wa kutosha kuhusu mfumo huo, waligundua kuna kiasi kinachepushwa kuelekea nchi jirani. Ikapelekea JPM na Paul kuingia kwenye mgogoro miaka ya 2020.
African Countries That Hate Each Other 😠
🇲🇦 Morocco ⚔️ 🇩🇿 Algeria
🇿🇦 South Africa ⚔️ 🇳🇬 Nigeria
🇪🇬 Egypt ⚔️ 🇪🇹 Ethiopia
🇪🇹 Ethiopia ⚔️ 🇪🇷 Eritrea
🇸🇴 Somalia ⚔️ Somaliland
🇸🇩 Sudan ⚔️ 🇸🇸 South Sudan
🇨🇩 DR Congo ⚔️ 🇷🇼 Rwanda
🇰🇪 Kenya ⚔️ 🇸🇴 Somalia...... Show more
TANZANIA ni nchi pekee wateja wakiwa wengi kampuni zinakufa. Duniani kote wateja wakiongezeka huwa ni baraka kwa kampuni.
CRDB wateja wakiwa wengi network iko down.
Vodacom wateja wakiwa wengi ukipiga simu hazitoki.
DAWASA wateja wakiongezeka maji hayatoki.
TANESCO wateja wakiwa wengi umeme unakuwa wa mgao.
Mwendokasi ...
SGR ...
Reason: watu wamekuwa wengi.
😂
@McinikaWaLamar 1. Hawana uelewa wa biashara/usimamizi
2. Wanaanzisha biashara sababu wana mtaji
3. Wanaamini umaarufu wao ndio utakaowapa wateja pekee
4. Wanazungukwa na watu sio sahihi/ hawana elimi
2 Mambo Ya Nyakati 7:14
“ ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao”