@Kawambwa01@TriciaAbou Elfu hamsini kwako ndogo sana kuna watu wanaishi nyumba za kupanga 5,000 kwa mwezi na bado wanashindwa kulipa tunaliongeleaje hili?
Kwenye Psychology kuna kitu kinaitwa "Premature Victory"
Hii kitu inasababisha ubongo ku relax,kupoteza focus,over confidence, careless mistakes,na kupuuza dalili mbaya.
Hii uwa downfall kwenye michezo, biashara,mahusiano hata personal struggles
Hapa shetani uwa anasingiziwa sana