Moja ya vitu why I love my wife, my woman, ana mapungufu yote kama ambavyo mimi ninayo, ila kwenye my darkest moments in my life, she has been there, and never give up on me.
Hili siwezi kusahau, Kamwe
Leo Mama Kanisa anaadhimisha Dominika ya 32 ya Mwaka A wa Kanisa. Liturujia ya Neno la Mungu inatualika “Kukesha” yaani kuwa tayari kiroho kwa ujio wa Bwana wetu Yesu Kristo. Mwenyezi Mungu ametupatia Hekima ya Kimungu inayotusaidia kuyapenda mambo ya mbinguni na kuishi daima .
Wakati mwingine Mungu huruhusu vitu ulivyovitegemea viondoke, si kwa sababu amekuacha, bali ili moyo wako ujifunze kumtegemea Yeye kuliko vitu, watu au uwezo wako mwenyewe. Unapokosa pa kushikilia, ndipo unapogundua kuwa Mungu ndiye msingi wa kweli.
Bwana, nipe nguvu mpya leo.
Pale ninapochoka, nishike.
Pale ninapoogopa, nikumbushe kwamba uko pamoja nami.
Nipe ujasiri wa kuendelea, hekima ya kufanya yaliyo sahihi na moyo wa kutokata tamaa.
Thibitisha kazi ya mikono yangu na uniongoze katika njia yako.
Amina. 🙏🏾
#TajiriLaKihaya
Before the Premier League season starts, I want to categorically state that I hate MANCHESTER UNITED and BARCELONA with all my heart, and I wish them nothing but misery this season🙏🏽