Best Student Ardhi GPA 4.4
Best Student SUA GPA 4.5
Best Student UDOM GPA 4.6
Best Student CUoM GPA 4.7
Best Student UDSM GPA 4.8
Best Student MUST GPA 4.9
Umegundua nini hapo? 😂
Happy birthday Son of the soil,
Happy birthday Shujaa wetu.
Happy birthday Balozi Polepole
Popote ulipo tunaendelea kukuombea Mungu wa Mbinguni aone sirini akulinde,
Watanzania wote wenye mapenzi mema na Taifa hili tunathamini sana mchango wako kwenye Harakati za kupigania ukombozi wetu.
Leo ni BIRTHDAY YA HUMPHERY POLEPOLE.
Kiongozi pekee aliekataa kuwa upande wa Serikali inayoteka wakosoaji wake ili iendelee kutawala watanzania. Alijuzulu Ubalozi ili aungane na WATANZANIA.
Kiongozi ambae alisimama kama Mzalendo kutuambia mambo mengi ambayo tulikuwa hatuyajui kama TAIFA ambayo watawala walikuwa wanayafanya kujineemesha wao.
Kiongozi ambae alitaka UWAJIBIKAJI kwa wote waliotufikisha hapa kama taifa kabla ya kuenda kwenye UCHAGUZI mkuu.
Amekuwa zaidi ya KAKA yetu sisi GEN Z—alitupa mafundisho ya kuijua nchi yetu kiundani japo ilikuwa ni kwa muda MFUPI sana.
Moja ya Kauli yake ya Mwisho alipoongea na TAIFA alitusihi “TUSIKUBALI KWENDA KWENYE MARIDHIANO BAADA YA UCHAGUZI” hii kauli tutaishi nayo Milele.
Hatujui kama upo salama mpaka muda huu ila nikuambie tuu tarehe 29 / 10 wananchi walizuia UCHAGUZI haukuwepo na dunia nzima iliona.
Hatujui kama Upo salama mpaka muda huu ila nikuambie tuu wale wale vijana waliopigwa RISASI na familia zao (29.10) wamesema watatoka tena 9 / 12 kudai haki zao na haki za wapendwa wao. WAKOLONI WEUSI walibidi waue watu zaidi ya ELFU KUMI ili wao watawale hili taifa.
Happy Birthday Polepole Bado upo Mioyoni mwetu na tutakupigania milele maana maneno yako juu ya nchi yako bado yanaishi.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎