@Roma_Mkatoliki Nimezika zaidi ya wana wa3 kijijini kwetu rombo changamoto kubwa ni mpunga wa kufanya diagnosis kwa wiki mara 3 na kila ukifanya ni lak 7 cash imagine
Millennial walikuwa hawavai mashati ya shule mpaka wayadumbukize kwenye rangi ya blue,
Shati ilikuwa inabadilika kutoka nyeupe kwenda blue na walikuwa wana enjoy balaa π π