@CloudsMediaLive@kipepe123 ANAPASWA KUPIGA GOTI MWANAMKE.
Kama alama ya:-
1. Shukran kwa kuchaguliwa yeye miongoni mwa wengi.
2. Heshima na bahati ya kumpata anayempenda.
3. Unyenyekevu kwa mume wake.
4. Ahadi ya kuyaonyesha mapenzi mwanaume aliyoyafuata.
5. Kukubali kuwa mtu wa karibu zaidi wa mwanaume.