Hakuna mchezaji alieachwa uwarabuni akaja bomgo akawa MALI
-Kouma
-Kisinda
-Miqueson
-kambole
Saivi tena kaongezwa FRED NGOMA,
Sitoshangaa akishindwa na yeye pia mana umekua utaratibu wa kawaida
๐จ JUST IN : Shalulile hajasajiliwa na Yanga zile ni kampeni ya uchaguzi ile sajili ya kisiasa
Ndo maana hajatambulishwa na jezi ya yanga hata ukiichunguza ile video aliyotambulishwa nayo haioneshi kajiunga na yanga bali anamtaja taja Engineer tu
Na ndo maana pia depu hajaachwa
Moja ya sajili za mashaka sana ni hizi za yanga msimu huu
Hawa mabishoo ivi wataweza kucheza viwanja vya NANGWANDA SIJAONA na generary isamuyo
Sitarajii kuiona yanga robo fainali CAF wala kutetea taji lao la ligi
Hakunaga dawa ila kuna mazoezi ya kukuza huitwa โJELQING EXERCISEโ
Huu ni uvutaji wa mashine๐ ikiwa imelala dk 10-25, unaivuta kwa kugeuza pande zote (juu,chini,pembeni kushoto na kulia).
Kama ilivyo Gym vile unatrain misuli ndivyo hutanuka & kukomaa zaidi.
Hii ushuhuda ninao
Timu pinzani wanapata shida sana mpaka nawaonea huruma maana hawajui wamkabe nani? Wakimkaba Chama anafunga Libase, Wakimkaba Libase anafunga Oura, akikabwa Oura anafunga Mpanzu, hapo bado Maema anawachekesha, Mwalimu hajaingia.
Hii Simba ni imewaka ukibisha lete timu.