Shambadunia Ltd is a pioneering force in agricultural innovation, leveraging technology to revolutionize farming practices. Committed to sustainable solutions,
Grateful to IFC, SAGCOT, and AGRA for orchestrating a transformative event! Your collaborative efforts brought together a community of dedicated participants, fostering innovation, and driving positive change in agriculture. A heartfelt thank you to all organizers.
#shambadunia
.ili kujisajili kwenye KILIMO MARATHON AWARD AND EXPO tumia link hii https://t.co/2wLF4pvckP au kwa maelekezo zaidi unaweza ukapiga namba hizo hapo chini @shambadunia#KilimoMarathon#ShambaDunia
Tunaweza kuendelea kujisajili katika tovuti ya https://t.co/ozFuUHqeEI ili kushiriki kwenye mbio zetu!
Kuanzia Sept 29 - Oct 1 @shambadunia inawaletea
Kilimo marathon, awards and Expo 2022.MOROGORO
๐0754 222800 au 0766 300777 kwa maelezo zaidi.
#kilimomarathon#shambadunia
Kupitia @shambadunia .
Kuanzia Sept 29 - Oct 1 Tuzo za
Kilimo marathon, awards and Expo 2022, Zitafanyika MOROGORO
Jisajili sasa kupitia tovuti ya https://t.co/arj9AOVCNG
Ama piga simu ๐๐ฟ
๐0754 222800 au 0766 300777 kwa maelezo zaidi.
#kilimomarathon#shambadunia
Hii ni fursa yako sasa ya mwaka kuonyesha huduma au bidhaa zako za kilimo,karibu ukutanishwe na wadau pamoja na wateja kuanzia sept 29 hadi Oct 1,2022.
"Viwanja vya jamuhuri Morogoro" @shambadunia
๐0754 222800 au 0766 300777 kwa maelezo zaidi.
#kilimomarathon#shambadunia
.kampuni ya @shambadunia ambao ni waandaaji wa tuzo za KILIMO MARATHON AWARDS & EXPO wakishirikiana na wadau mbali mbali wa KILIMO wanakuletea EVENT kubwa ya kilimo katika uwanja wa jamuhuri morogoro kuanzia tarehe 29-1 mwezi huu wa tisa.
.kwa mawasiliano 0766 300777.
Huku hewa ni safi na msimu huu tumejipanga kupita maelezo!!
Tembelea tovuti yetu https://t.co/94tJzGbt0q kupata maelezo yote ya jinsi ya kujisajili kwaajili ya Mbio, Maonyesho au Tuzo
#kilimomarathonawardsandexpo2022#anziashambani
Je? Umeshajisajili?
Usikose MARATHON PEKEE inayohamasisha kilimo nchini na nafasi kwaajili ya maonyesho, mbio na tuzo bado zipo.
Tembelea tovuti yetu ya https://t.co/94tJzGbt0q kujisajili
#kilimomarathonawardsandexpo2022#anziashambani
Waziri wa Kilimo, Mhe.Hussein Bashe amesema Maonesho ya wakulima ya Nanenane yaliyokuwa yamesitishwa, sasa yanarudishwa rasmi kwa mfumo na utaratibu mpya tofauti na ilivyokuwa awali.
Mhe.Bashe ameliambia Bunge kuwa maonesho ya mwaka huu yataadhimishwa kitaifa jijini Mbeya
We are inviting you to collaborate in this event through active participation or sponsorship and support. Get in touch with our marketing team to know how you can get on board in this year's biggest Agricultural event in the country.
#kilimomarathonandexpo2022#anziashambani
Usajili kwaajili ya wale wote pamoja na makampuni ambao watapenda kuonyesha huduma na bidhaa zao za kilimo uko wazi sasa
Karibu uwahi nafasi hii ya kipekee upate kukutana na wateja kwa siku 3 mfululizo
Wasiliana nasi usikose #fursa hii
#kilimomarathonandexpo2022#anziashambani
Shamba dunia inakaribisha wauzaji wa bidhaa za kilimo, pembejeo, chakula, vinywaji na mahitaji ya nyumbani kwa ujumla.
Ewe mkulima, migahawa, super markets, viwanda etc Kupitia application ya shamba dunia bidhaa zako zitaweza kuwafikia wanunuzi.
#shambadunia
Tukutane tena palepale viwanja vya SUA #Morogoro tukate upepo!
Usajili umeshaanza kwa wote mnaotaka kushiriki na kwa wale wanaotaka nafasi za udhamini na kufanya maonyesho ya bidhaa na huduma zenu basi wasiliana nasi
#kilimomarathon#kimbiliashambani