Naibu Waziri waNaibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe Abdallah Hamisi Ulega amefanya ziara Mkoa wa Morogoro katika Wilaya za Kilombero na Malinyi kutatua migogoro na malalamiko ya wafugaji
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amemuagiza Mkuu wa wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya kwa kushirikiana na meneja wa Ranchi ya Mkata kuwaondoa wakulima wanaolima ndani ya Ranchi ya NARCO ya Mkata
Are you a young & upcoming scientist looking to turn your ideas into #research project? @WIOMSA is inviting submission of proposals for its Marine Research Grant (#MARG) Program for 2019. CLICK HERE for more information on this amazing opportunity: https://t.co/zG9BPxl5o3
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega, amesema serikali ipo katika hatua nzuri ya kukamilisha hatua za ujenzi wa bandari ya uvuvi na kununua meli kwa ajili ya kuvua samaki kwenye eneo la bahari kuu.
Ulega amebainisha hayo baada ya kuwasili nchini akitokea Mjini Nairobi
#Program ya kutoa elimu ya Malisho ya Mifugo na ustawishaji wa malisho ya Mifugo kupitia mashamba darasa. imefanyika katika Wilaya ya Maswa, Meatu na Itilima Mkoani Simiyu kuanzia tarehe 16/11/2018 na Idara ya Utafiti na Mafunzo ya Ugani kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi.
"The average discard rate was 14.09%, ranging from 3.20% for the yellowfin tuna fleet to 18.09% for the bigeye tuna fleet" Since 2010 THIS SCANDAL IS ON THE TABLE, BUT SOME PUT IT UNDER THE CARPET.
https://t.co/ongDM8Q29R
That's why Asians don't want observers SOLUTION: #EMS