@MalisaGJ_ Hapa si atafanya special (atamfanya mitihani na wale waliokosa mitihani wa sababu mbali mbali kama vile ugonjwa ,kufiwa nk)nadhani huu utaratibu kila chuo upo kurudia mwaka hapo inatoka wapi chuo kinasheria zake huwezi kutengua sheria kisa mwanafunzi mmoja au wawili.
@Profesaa___ Kila mtu aamahaba na kile kitu anachoona kwake kinampa furaha. Na sio lazima kitu anachokipenda mwingine na ww utakipenda.Hao wanamapenzi na icho kitu unachokifanya na kinawapa furaha kwa hiyo kwao kinamanufaa kwani kinawapa burudani.
we haupo interested na hivo vitu