@CarolNdosi Hii nchi imekua ya kila mtu anaitisha press for nothing hata nyi waandishi mnaopeleka mic zenu kwa watu km hawa mjitathimin sana kwenye tasnia ya habari
@HecheJohn Km chadema bado hamtengenezi YOUR OWN VISION na kusubiri ccm ikosee ili muongee , MTASUBIRI SANA HATA HIZI 4R za mama itakuwa ngumu kwa nyie kutake over. "SHAME ON YOU "
@mshambuliaji@Chahali Maulid kinachopigiwa kelele no aina ya mkataba au maku aliano sio uwekezaji sekta binafsi bandarini.
Kinachoumisha kichwa why tunatumia nhuvu nyingi kuaminisha watu makubaliano yako vizuri?
Hiii nguvu kubwa inayotumika kuaminisha kuwa DP WORLD wako fit sio mjadala but