Official statement from Chairman Freeman Aikael Mbowe
"Chama kinatangaza maandamano ya amani ya kuishinikiza Serikali kuzingatia maoni na mapendekezo ya wadau mbalimbali wa uchaguzi nchini ambayo yataanza Dar Es salaam tarehe 24/01/2024 mpaka hapo Serikali itakapoondoa miswada hiyo Bungeni .."
Watanzania wameshangilia sana uamuzi huu.
Hongera Mpiganaji @Johnylemah kwa kukamilisha kazi ya ujenzi wa chama jimbo la Mwibara.
Imekua miezi zaidi ya minne ya kazi ya chama kusajili wanachama kidigitali na kusimamia uchaguzi kuanzia ngazi ya msingi na baadae Jimbo la Mwibara.
Sio kazi nyepesi.
🫡
Rais Samia anasema hana mpango wa kuandika Katiba Mpya sasa ila anataka kutoa elimu ya Katiba iliyopo kwa miaka 3. Chadema tunasema tunataka Katiba mpya sasa
Kama unakubaliana na Chadema #Retweet
Kama unakubaliana na Samia #Like
Kijana, tambua vipaji na uwezo ulionao. Usijidhalilishe kwa chochote ulichonacho au kwa chochote usichonacho. Zingatia mambo unayofanya vizuri kufikia malengo yako. Jisomee, jifunze kutoka kwa wengine, utashinda woga na kujiamini. Endelea kujenga nguvu yako ndio silaha yako.
Katika jitihada za kupata wimbo wa Bavicha utakaokuwa ukiimbwa katika dhifa zote za kitaifa sambamba na wimbo wa taifa zikiendelea. John Lema kutoka Arusha aonyesha kipaji chake. Endeleeni kutunga nyimbo nyingi ili mwishowe tupate mshindi atakayepata tuzo.
Zimebaki siku 9.
Fatma, hoja za ubaguzi unaziibua kufifisha mjadala. Twende huku
Ibara ya 7, 8, 20, 22 & 23 ya mkataba imetoa kinga kwa DPW. Ni sahihi? Kwanini?
DPW ni mali ya mtawala wa Dubai
Dubai wakiwekewa vikwazo, vikaathiri utendaji wa DPW, Tanzania tukiathirika, nani atalipa fidia? HOW?
Yaani badala ushughulike na hao WAZANZIBARI waliouza BANDARI zetu zote za TANGANYIKA kwa WAARABU, sasa unawaza kushughulika na sisi tunaopinga DHULUMA hiyo. Ila @Nnauye_Nape una akili ndogo sana. Hivi wakati ule kama sio kelele zetu, Leo hii siungekua uko aliko MWENDAZAKE.???
MUUNGANO wa kuumizana.
1. Mtanganyika hawezi kuteuliwa kuwa hata DC uko ZANZIBAR, ila wao wanateuliwa kuwa viongozi Tanganyika
2. Sisi hatuwezi kumiliki Ardhi uko ZANZIBAR, ila wao wanamiliki Ardhi hapa kwetu.
3 .Wao wana serekali Yao ya ZANZIBAR, sisi hatuna serekali.
Utaratibu ununuzi katika kazi za ujenzi, ununuzi huduma na bidhaa kwa “single source” unasimamiwa na Kanuni za Ununuzi wa Umma, 2013 zilizorekebishwa na Tangazo la Serikali Na. 333 la mwaka 2016. Unaweza kutuonyesha zabuni waliyoshinda pale TANePS hawa waarabu wenu wa DP WORLD?
@John_Pambalu@Amani2025@Jacquel42567064 Asante sana Mh. Mwenyekiti, swala la kukilinda chama ni kwa wivu mkuu ili wananchi wetu wapate uwakilishi sahihi wa kichama na viongozi thabiti watakao wafikisha kwenye matakwa yao na kupata uhakika wa kesho yao