@DonaldTNews Peace be upon Donald Trump.Deeply sorry for attempted assassination.God reminds you to remember him about the day when you will encounter him.
Je kila CCM inapokosa Ushawishi kwenye jamii au mtandao utashambuliwa na kusingiziwa ukosefu wa maadili? CCM imejificha kwenye kivuli cha maadili kwenye maeneo yaliyo na ushawishi tu? Kama Hofu ni Maadili RC wa Simiyu amechukuliwa hatua gani? #MariaSpaces#KatibaMpya
@KatibaMpyaTz_ Amani iwe juu yake huyo anayetaka kuifunga "X".Nafsi yake na uwezo wake wa kufikiri ndiyo unaomchochea kwenye fikra hizo.Mungu na amuongoze kwenye njia sahihi.
@Newsweek Peace be upon the descendants of Isaac (the Israelites) and peace be upon the descendants of Ishmael (the Arabs).
It's about time for ceasefire,a lot of unnecessary bloodshed can be avoided.We have life in revenge.Stop war and come to peace.May God bring peace on that land.Amen.
More than 100 people were reportedly arrested in downtown Chicago as protesters called for a ceasefire in Gaza. Hundreds of Jewish peace activists and allies travelled from Milwaukee, Kansas City, Detroit and Indianapolis.
@bbcswahili Amani iwe juu yake,Benjamin Netanyahu.Ufumbuzi wa mgogoro kati ya wazao wa Isaac na wazao wa Ishmael Mungu Ameuweka ndani ya Kurani Tukufu.Wazao wa Ishmael wameiacha Kurani hali kadhalika Waisrael wameiacha Taurati ambayo ingewaongoza kwenye Kurani na kuwa na amani na ndugu zao.
Ukisoma rasimu ya Warioba utaiona Tanzania ambayo tunatakiwa kuiishi. Kila mtanzania ana haki ya kuendelea kupigania katiba mpya hususani rasimu ya Jaji warioba kwa kuwa imeweka misingi mizuri ya kuendesha taifa letu. #KatibaMpya#WenyeNchiWananchi
Habari za weekend wapendwa ❣️
MaRADIKO tusioyumbushwa tutambuane 💪🏽
Wapenda Haki, Demokrasia na #KatibaMpya TUINUANE 👊🏽
Achaneni na Chawa wa Mama - sisi ni #TeamKatibaMpya
Weka handle niku- follow (ukiwa chawa na unajipendekeza kwa watawala nakutosa!)
The opponents of our Jamaat can murder a few of our members; they can loot Ahmadis of their wealth; they can destroy our buildings; they can stop us constructing #mosques. But they can never weaken our #faith. - Hadrat Mirza Masroor Ahmad (aba) #TrueIslam#Ahmadiyya