@Sirjeff_D Kaka SJ nilianza biashara yangu ya kuuza mitandio online nilianza mali auli hivi sasa nimeweza kulipia ukuta/kariakoo napata faida ya 25000 kwa siku nafikiria kuongeza mzigo wakutosha kwani demand imekuwa na mimi sina uwezo wa kushusha mzigo 1M itanisaidia sana
#MilioniInatosha
"Whoever reads Ayatul-Kursi [Qur'an 2:255], after every obligatory prayer, nothing prevents him from entering jannah except death".
Prophet Muhammad (SAW).