"Nenda na ufanye uamuzi wa kutisha na utakuja na majibu ya kufurahisha, cha muhimu usiogope. Tuache mazoea." Lola Amolola, Mwasisi wa kundi la Facebook la FIN Nigeria.
#AWIM19#TheAfricaWeWant
"Ni wakati wa kujitokeza na kuzungumza habari zetu na kuzieleza bila uoga kwa mtindo tunaoona unafaa. Ni muda wa kuachana na hofu ya kufungwa midomo kama tulivyokuwa watoto" Lola Omolola, mwasisi wa kundi la Facebook la Fin Nigeria.
Kila binadamu anasiku yake mbaya, muhimu ni kuhakikisha haiharibu malengo na mipango uliyonayo, simamia uamuzi wako mgumu". Lola Omolola, Mwasisi wa kundi la Facebook FIN, Nigeria.
#AWIM19#Breakingthesilence#WomenInNews
"Ziko wapi kumbukumbu zawanawake waliosaidia Ukombozi wa Barani Afrika!? Wanakumbukwa vipi ? Kwanini wako Baba wa Mataifa tu", ? Mkurugenzi wa Jinsia, Umoja wa Afrika (AU), Victoria Maloka.
@azamtvtz#AWiM19#WomenInNews#TheAfricaWeWant
Am with amazing women in Africa doing Big thing in the Continent@HiltonHotel @Dr.Yemisi the Founder of AWIM19 and The AU Director of Communication and Relations, Leslie Ficher.
#AWiM19
Instead of asking people: "what do you do?" Ask: "why do you do what you do?"
Don't be inspired by titles and accolades. Be inspired and motivated by the passion and genuine enthusiasm that people feel towards their work and purpose in life.
"Ukatili wa majumbani ni tatizo kubwa zaidi katika nchi nyingi za Afrika na linachangia kwa kiwango kikubwa vifo, ulemavu wa kudumu sanjari na kuathiri malezi ya watoto." Dr. Dorothy Njoroge
#AWiM19#WomenInNews#stopdomesticviolence