Ripoti maalum #AfyayaUzaziTanzaniaMedia "Hapa Sengerema wasichana wanaona bora kupata Ukimwi kuliko mimba, wanaume si waaminifu nyingi zinatolewa kwa mitishamba," ni sehemu ya maelezo ya Naomi binti wa Mchungaji aliyenasa mimba na kujaribu kuitoa.... Zaidi ndani ya NIPASHE leo.
Mtoto huyu yuko Hospitali ya Rufaa mjini wodi no. 8 mama yake aligongwa Alhamisi Mei 17, 2019 na kufariki katika mteremko wa Iwambi kuelekea Mbalizi. Hakuna aliyejitokeza, tunaomba share ili ndugu wa karibu wamchukue. Kwa mawasiliano 0765314250 Supervisor hospitali ya Rufaa