Pamoja na kuendeleza mapambano dhidi ya Covid-19, tusisahau kuchukua hadhari tuwapo barabarani ni muhimu kwa madereva kufuata alama za barabarani na kuacha mashindano ambayo yanaweza kusababisha ajali zinazopoteza maisha ya watu
@wizara_afyatz@tanpol @umwalimu @WizaraMNN
Ajali kama hizi zinazoleta ulemavu na vifo ni za kukemewa! Hii imetokea leo 18.11.19! Inasemekana ni basi ya Allys Star ya Dodoma - Mwanza. Wadau tukemee mwendokasi na tabia zingine hatarishi safarini! @2018Fellow @RsaTanzania @azamtvtz@MwananchiNews@TawlaTZ#ajalisasabasi
Ikiwa leo ni siku ya kuwakumbuka wahanga wa ajali za barabarani serikali na wadau mbalimbali tuna jukumu la kutilia mkazo sheria za usalama barabarani na kuboresha miundombinu ili kupunguza au kuondoa kabisa ajali za barabarani ambazo zimekuwa zikimaliza nguvu kazi
@bunge_tz
Ikiwa leo ni siku ya kuwakumbuka wahanga wa ajali za barabarani serikali na wadau mbalimbali tuna jukumu la kutilia mkazo sheria za usalama barabarani na kuboresha miundombinu ili kupunguza au kuondoa kabisa ajali za barabarani ambazo zimekuwa zikimaliza nguvu kazi
@bunge_tz
Uharaka wako usikupelekee ukahatarisha maisha yako. Vaa helmet kila unapopanda bodaboda kwa sababu ni muhimu kwa usalama wa afya yako hasa kichwa. Pia hupunguza gharama za matibabu kwa kiasi kikubwa pindi unapopata ajali.
#AjaliSasaBasi#HakiHainaJinsia
Je, waju?
Kadiri kiwango cha mwendokasi kinavyoongezeka ndivyo hatari ya kujeruhika vibaya na kifo inavyoongezeka.
Abiria paza sauti kukemea mwendokasi wakati wa safari, dereva zingatia alama elekezi kwa mwendokasi unaostahili barabarani.
#Ajalisasabasi#RoadSafety
Ni jambo jema kuona Serikali inataka kuifanyia maboresho Sheria ya Usalama Barabarani. Ni mwanzo mzuri katika kupunguza ajali za #Tanzania. Tunaisihi Serikali kupitia @bunge_tz lake tukufu kuongeza kasi katika suala hili.#ajalisasabasi
|@safiri_salama|
|@TawlaTZ|
|@MediaSpaceTz|
Je, wajua?
Vyanzo vikuu vya ajali za barabarani vimegawanyika katika makundi matatu:
i. Sababu za kibinadamu
ii. Ubovu wa vyombo vya usafiri; na
iii. Sababu za kimazingira.
#Ajalisasabasi
WHO report 2018,... Ajali za barabarani zinasababisha vifo vya vijana wengi wenye umri kati ya miaka 15-29 ulimwenguni, idadi ya vijana 352,700 wanakufa kila mwaka na asilimia 79 kati yao ni vijana wa kiume, Stop Drink and Drive. #ajalisasabasi@2018Fellow@RoadAlumni
Kwa siku ya jana tarehe 6/8/2019 pekee idadi ya ajali zilizotokea ni 4 huku vifo vikiwa watu 3 na majeruhi 23, tuangalie namna ya kutoa elimu ili kupunguza ajali, Afande Abel Swai mkuu kitengo cha mawasiliano traffic HQ at Iringa.#Ajalisasabasi@2018Fellow@RoadAlumni.
86% ya ajali za barabarani zinazotokea #Tanzania hutokana na sababu za kibinadamu kama vile; uendeshaji hatari, uzembe wa dereva, mwendokasi, kupita gari la mbele yako bila uangalifu, ulevi n.k.
Chanzo: Takwimu za Hali ya Uhalifu - Januari-Desemba 2017
Ukiwa uswahilini ndio utajua nguvu ya buku
Mihogo 5 - 500
Chai 1- 100
Kandoro 1- 100
Askirimu 1- 100
Miambili inabaki kwenda kuizungurusha kwenye kolokolo izalishe 😂😂😂😂😂
Kati ya nchi 175 duniani ni nchi 33 pekee zina Sheria inayosimamia utumiaji wa vizuizi vya watoto kwa ajili ya Usalama wao pindi inapotokea ajali. Sheria yetu inapaswa kufanyiwa marekebisho ili iendane na matakwa ya sasa
#Ajalisasabasi@bunge_tz@sikika1@safiri_salama
Kwa mujibu wa taarifa ya jeshi la polisi kikosi cha usalama barabara ni, makosa yaliyokamatwa ya ulevi Dar es salaam kipindi cha January-June ni 304, kuna haja sheria 1973 irekebishwe kipengele cha 0.8g/dl kuwa 0.5 cha kimataifa ama 0.2g/dl #Ajalisasabasi@RoadAlumni@2018Fellow
Mtembea kwa miguu hakikisha usalama wako unapovuka kwenye kivuko cha waenda kwa miguu-zebra, hakikisha gari zimesimama ndipo uvuke, usivuke pindi gari zimeruhusiwa na taa za kuongozea magari. #Ajalisasabasi@RoadAlumni@2018Fellow@bajabiri @ezeshama @Kondovumilia