@furia_francis Barabara pia inapita nyumbani kwa @SuluhuSamia kwenye kiwanja na majengo yake [au ya wanawe] na pale ndio kuna dimbwi kubwa kuliko yote!! Kisiasa hii sio sawa na nadhadimbwi ndio moja ya kizuizi kinachozuia asije site! @tanroadshq @innobash @kinondonimc Image ya Rais itunzwe!
@ummymwalimu@NormanJonasMD Hon @ummymwalimu huwa nahisi hospitali nyingi zinaiibia NHIF! Hospitali zote tunazotibiwa, tunasaini blank NHIF Forms!! Huwa nahisi baada ya kupewa Ile form blank, kuna figure zinajazwa!! Kuwe na mfumo wa kujua na kuthibitisha mgonjwa nimetumia sh ngapi kabla sijaondoka hospital.
@masoudkipanya Waziri wa Sheria hayo anayoyasema [ya fidia kwa waathirika wa Jinai] yapo kwenye sheria ya mwenendo wa makosa ya Jinai na pia kwenye kanuni za plea bargain! Hawafanyi kwa makusudi! Hakuna haja ya kupeleka Muswada mpya Bungeni!!@PMadeleka
@AziziEsq@RebecaGyumi Kwa hiyo mahakama itajiridhisha kuwa ana maumbile ya kuruhusu uume kuingia? Au itaangalia kama anapenda kucheza mdako na rede au anapenda kumhudumia mume? Suppose mtoto akisema anapenda kucheza rede? Mahakama itamke; kwa kuwa mtoto anapenda rede basi sio wife material?
@Twaha_Mwaipaya Mkiendelea katika mikutano yenu na ajenda hizi za kuangalia zaidi maisha ya Watanzania na namna wanavyopigika, mtafika mbali sana kama Chama cha Siasa! This is what ordinary mwananchi really want to hear! Yale ya Katiba yatokane na narrative hii
Kwani yule Kamanda wa JWTZ Kambinya Lugalo anayependa mazingira kahamishiwa wapi? Maana Hali ya hii bustani kwenye Bagamoyo Road haitii natumaini! Miti imekauka; haimwagiliwi! Dah! Tutammiss! Arudishwe! @MsigwaGerson@gcumod
Tulikuwa tushaandikiwa suspension! Tulikuwa pale uwanjani na mabegi yetu na Kitemangu katusimamia na Katara lishawashwa kutupeleka Sanawari! N at that very moment; Nyerere died! Will always recall this moment!!
@ortamisemitz @wizara_elimuTz@ten_met @innobash Na jana Bagamoyo pamenyesha mvua! Ardhi ina unyevu! Halafu kuna kabaridi Fulani amazing! Nikawaza wengine wanapata maksi ndogo sio kwa kukosa akili bali mazingira ya kufanyia mitihani sio rafiki! @ridhiwankikwete Mbunge hapa nani?
Nimepita shule ya Msingi Mbaruku Bagamoyo Mjini na kuona wanafunzi wanafanya mtihani kwenye Uwanja wakiwa wamekaa chini na sio kwenye desk! Kwa Zama hizi za kuupiga mwingi hii sio sawa! Unless tunapima pia uvumilivu! @ikulumawasliano@SuluhuSamia@HakiElimu@MabalaMakengeza
Nimepita shule ya Msingi Mbaruku Bagamoyo Mjini na kuona wanafunzi wanafanya mtihani kwenye Uwanja wakiwa wamekaa chini na sio kwenye desk! Kwa Zama hizi za kuupiga mwingi hii sio sawa! Unless tunapima pia uvumilivu! @ikulumawasliano@SuluhuSamia@HakiElimu@MabalaMakengeza
@mbuga_jonathan Tatizo hapa Court of Appeal wameact as if wao ni probate court! Kama beneficiaries hawajalalamika before the court issue ya kumtaka msimamizi [ambaye naye ni beneficiary] kuonesha consent inaaaply vipi? This was plain n simple administrator at work!
@neemalugangira@Nnauye_Nape Hivi hawa unaowalinganisha nasi wana mkongo wa Taifa? Wana Seacom? Wana Easssy? Sisi hatupaswi kujilinganisha nao! Also recall SSH @SuluhuSamia anataka expanded connectivity! Hizi bei za data tunaibiana sisi kwa sisi kwa sababu hakuna strong regulator @TCRA_Tz