*Anaandika Odero Odero*
Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kutekwa kwa Mtanzania ,Mwanaharakati Maria Sarungi Jijini Nairobi mchana wa leo.
Kama Mtanzania nitoe wito kwa Ubalozi wetu kufuatilia taarifa hizi za Mtanzania mwenzetu ili apatikana akiwa Hai @ExMayorUbungo
@PMadeleka Ili kumfahamu Odero nawasihi mpitie na msomeSera zake ,Mbowe na Lissu ni Status Quo tu,kwa sasa Odero ndiye anaweza kuponya,kuganga na kutuliza mawimbi na dhoruba na hivyo dawa pekee ni Lissu na Mbowe kumwachia Odero ili kuepuka mpasuko wa chama
Habari Picha:
Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa @ChademaTz, Ndugu Odero Odero akirejesha fomu ya kugombea nafasi hiyo leo katika ofisi za CHADEMA Kanda ya Kaskazini, ambapo amemkabidhi Afisa wa Kanda, Leah Kweka kwa niaba ya Katibu wa Kanda, Amani Gholugwa
Taarifa kwa Umma
CILAO le tumewasilisha Mashitaka kwenye Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma dhidi ya DC wa Ubungo Hassan Bomboko kwa Matumizi Mabaya ya Madaraka na Udhalilishaji kwa Wanawake wakati akitekeleza kilichoitwa Oparesheni ondoa Mahakahaba @HecheJohn
Kama Taasisi inayofanya kazi za utetezi wa Haki na Uhuru wa kujieleza,tunalaani kitendo cha Polisi kuwakamata Boniface Jacob na Godlisten Malisa ambao wametumia haki zao kikatiba kupokea na kutoa Taarifa kadiri ya Ibara ya 18 ya Katiba ya nchi.@HecheJohn@THRDCOALITION
Tumepokea kwa maikitiko taarifa za kukamatwa kwa huyu dada Msanii kwa kinachodaiwa ni uchochezi.
Katiba inatoa Haki na Uhuru wa maoni na Uhuru wa Kujieleza @tanpol Mbeya mnapaswa kumwachia huyu dada kwa kuwa ametumia Haki yake ya Kikafiba kujieleza @THRDCOALITION
Katiba Mali ya Wananchi ,na kwa kuwa ni mali ya Wananchi basi wananchi ndio wenye Kauli ya kuamua iweje na sio Rais ambaye amewekwa na Katiba kuwaamulia Wananchi lini na aina gani ya Katiba inawafaa.
#KatibaMpya@raiyajenerali@HecheJohn@DenisMoses14@MariaSTsehai