@Roma_Mkatoliki Kwasisi wataalamu wa IT kudukuliwa sio tatzo Hila tunapima ubora wako kwakutazama umetumia mda gan kurejesha account au website Yako kudukuliwa mbona kawaida hususani kwenye website za Twitter ambazo ni rasmi kutolea matangazo tu mara nyingi ulinzi wake huwa wa kawaida