@HildaNewton21@sheets_to_go Huenda ni mpango wa kumuachia huru,mkono wa MUNGU anatenda.HAKI ITASIMAMA 🙏🏿
👇🏿
#KATIBAMPYANISASA! ndiyo pekee itayoleta muafaka wa kitaifa,mengine yote porojo tu.✍️🏿
‼️AMKENI!.. AMKENI!.. AMKENI!..‼️
Katika hali isiyokuwa ya kawaida zile gari za Gereza la Ukonga ambazo huwa zinambeba Mhe. Tundu Lissu, leo asubuhi zimeonekana zinatoka Magereza, Magari yote yanayotoka Gongo la Mboto yesimamishwa.
Shuhuda aliyeshuhudia gari hizo anasema kwa jinsi ulinzi ulivomkali mkali anahisi huenda ni Mhe. Lissu, jamaa amepotezana na msafara huo maeneo ya Posta pale Stesheni ila gari hizo zilikuwa zinaelekea Mahakamani japo hajui kama ni Mahakama ya rufani au Mahakama kuu maana hizi Mahakama majengo yake yapo karibu.
Najiuliza Je, Serikali haram imeamua kumpeleka Mahakamani Mhe. Lissu kimya kimya bila kujulisha Mawakili wake au CHAMA?
Au kuna mtuhumiwa mwingine ambae kapelekwa Mahakamani kwa ulinzi mkali kama ambao huwa wanampa Mhe. Lissu?
Mliopo Mahakama tusaidieni kujua ukweli juu ya jambo hili.
Kuna siri kubwa sana nyuma ya nateso ya Tundu Lissu ila kwa kifupi ni Lissu ni mvumilivu, mstahamilivu lakini si mnyonge wala si mwoga wala hakubali kuonewa! Hekima yake imemweka katika vitabu vya historia vya Ulimwengu na amekuwa chanzo cha anguko la CCM! Kuna siku mtanielewa!
By standing firm, @TunduALissu has inspired an entire generation to stand up and fight. He forced Samia to make mistakes that effectively means the end of CCM! This could also signal the end of the Union. Tundu Lissu is a political genius and a master strategist
#FreeTunduLissu
Katika Kumbukizi yangu ya Kuzaliwa na kuomba wewe rafiki yangu unisaidie leo kuandika,kushare na kupiga kelele kuhusu utekaji na upotezwaji watu.
Siku yangu hii nitaitunia kutafakari namna bora ya juanza upya na kuendeleza madai ya kurejeshwa kwa ndugu zetu waliopotezwa.
Hatukuja Duniani kwa Bahati Mbaya.
Ni kwa neema ya Mungu ilikupata nafasi ya uzoefu katika Uhai na Utu katika Mwili.
Namna bora ya kuishi nikutambua kuwa hatuishi kwa ajili yetu tuu au kwajili ya kupendeza wengine tu .
Kuna kusudi na wajibu wajuu kabisa wa Kimungu katika Uwepo wetu.
Timiza kusudi la Uwepo Wako.Mungu ni mwema wakati wote.
Aluta Continua.....
BAK Mwabukusi.