@dawasatz huku kimara Mwisho mtaa wa Kisima chumvi tuna wiki ya tatu sasa hatuna maji mnakata maji na hakuna taarifa yeyote tafadhali changamkeni kutatua hilo tatizo la ukosefu wa maji. Hivi mnadhani tunaishije si ndio chanzo cha vipindupindu.
@tanescoyetutz Kukatika kwa umeme mara kwa mara na bila taarifa kutoka Tanesco imekuwa Kero sana. Hii ni changamoto wengi, na inaleta hasira, hata kabla ya msimu wa mvua. Ni muhimu kwa serikali kuchukua hatua kurekebisha hali hii ili kuwezesha maendeleo ya nchi yetu. Ps tunakosa mechi daah
Not sure where to start with your #giveaway? Check out this guide with our top tips to make your campaign a success 👉 https://t.co/5akSCYF42r
🏆 Choosing Prizes
👩💻 Which Social Networks
🚀 Promoting Your Giveaway
💰 How to Followup For Sales
😎 Extra Tips & Tricks