Ijumaa Ni Fursa Mpya Ya Kusafisha Nyoyo Zetu Na Kuanza Upya Ktk Njia Ya Haki
Tusiruhusu Dunia Itutawale Hadi Tukasahau Wajibu Wetu Kwa Mola Wetu.
Njoo Tushikamane Ktk Ibada,Tusikilize Nasaha, Na Tuombe Dua Kwa Pamoja
Imaan Huongezeka Kwa Ibada, Na Ibada Huleta Utulivu Wa Roho π€²πΎ