Kama tuliweza tongoza wa zee wenye master na PhD wakatupa makeup uko mtaani amnah kitakacho tushinda ni nyie watu wa mtaani kujipanga for new competition
@eastafricatv@DanyeMufasa Niwe be honest iyo principle ngumu san, tutavamia tutakula tutalewa na tutaondoka tena tukiwa tumeongeza new friends kwenye shughuli zao
Wakubwa eeh ivi ikitokea ww ni mwaji wapombe ila ukaja patana na mpenzi ila yeye ataki mnywaji wapombe na anakuambia chagua moja kati ya pombe na yeye uwaga mnachagua nini ?