This is a new hack, today I want to make everyone on X a millionaire, don't miss my 200m winning, all you need to do is retweet and stake with minimum of 100 naira when I drop the blue void
🚨🚀| Stop what you’re doing and find a replay of this Clatous Chama strike.
An acrobatic worldie just 9 minutes into the Kariakoo Derby in the Tanzanian League?! 🤯🇹🇿
@francismtey Yani urusi na mchina hajawai kupinga
Wewe umesoma vitabu na video za youtube unabisha😃
Fatilia vizuri mrusi india na ata mchina washawai kutuma kifaa mwezini kila mmoja bila kwenda mtu na kudhibitisha kwenda mwezini kunawezekana na sio nadharia
@VungaEl74 Watu wengi wanasema tumepigwa😄
Lakini kwenye kubisha kwao wanaongelea oxygen sijui atmosphere,wanasahau kwambo hivyo vyote tumeambiwa na mzungu na hawasemi kwamba na hivyo tumepigwa
@privaldinho Usichokijua ukubwa wa bara la Africa kwenye ramani inayotumika umepunguzwa,bara la Africa sio dogo Kama linavyoonekana kwenye ramani inayotumika,na uhalisia wa baadhi ya mabara sio sahihi kwenye uhalisia ,kiufupi ukubwa wa bara la Africa kwenye ramani ya wakoloni sio uhalisia
@kapeto98 Vita Ni gharama na lazima uwe na maslahi binafsi kwa taifa lako.Ukisema ufate mkumbo utapigika na uchumi utashuka vikwazo Kama vyote utawekewa.Akili inatumika na sio mehemko
@Psiteshio1 Mi naelewa nyumba Ni uwekezaji wa asset na sio biashara,inaweza kutumia kupata mikopo au ukauza miaka mingi baadae gharama itakua juu kidogo
Ujenzi wa nyumba sio biashara Ni uwekezaji