@Ireneigora Huu sasa ndo uongo wa kishabiki..
Asa wimbo una GIGY humo humo..
Uzuri wa nyimbo unatoka wapi...;
HAYA HUYO BABA WA IMANI..
ndo anarudia Video Vixen Kama Boxer..
acha Simba Aendelee kuwabuluza..
Hapa hakuna wasanii..
Niamini Mimi Tunao Wana Ambao Hawezi Kukusaidia Hata Kama Una Issue Ya 4k,,, Ila Siku Ukifa Wengine Watakodi Usafili, na Kuweka Mafuta Mpk 50k,, Na Wengine Watumia Nauli Kuja Msibani Mpk 100k,
Hii Ndo Dunia, Kufa Uone Upendo Wa Watu Kwakoπ
Watataka kukutumia Kwa Faida Zao Binafsi Bila Kujali Maumivu Yako!
Kuwa Makini Maisha Hayana Comeback!ππ Kama watakutumia Bila Faida Basi Waoneshe Huwezi Tumika kirahisi Ujuzi Ni Fursa! jina Ni Fursa Linda Bland Yakoβ
"Ukiniangalia Kwa Jicho La Husda! Utaona Kama Nina Shobo Sana, π Kitu ambacho Ni kweli,,, Sasa Nisishobokee Mahali Napata kile Kitu kinafanga Mwanangu Aniite Baba Kwa Ujasiliπ"
@SuluhuSamia Haya Mkuu.. Sisi tumekuachia wew! Maana sidhani Kama Tanzania utafrai soka siku Moja Kama yanga Atakuwa Kwenye ligi Bila simba ... Ila Yote Kwa Yote nao ni Mwaka Wa historia, tunatiki
Tunduma Attention!!
Kesho Mapema Tunajambo Letu, Pale Uwanjani(Shule Ya Msingi Tunduma) Game Itachezwa, Pia Mdhamini Wetu Na Kijana Mwenzetu(Mzawa @Thommkondya Atakuwepo.!
Tuwai Kabla Ya Saa 10: 00 Tuujaze Uwanja Wetu
#Tundumayetu#letsShine2gether
πͺ
Kuna Wana Wanatusapport Kama Vile Ndugu Kuliko Hata Ndugu Zetu Mpk tunaamini Wao Ni Ndugu Zetu, Na Tunapo Wasapport Mtuache Kwanza..
#Pmwaitege#Mnzunda
@Daktariwayanga Unapo Andika Ujinga, Kumbuka Utabiri Haufi,,,, Hata Mandela Ilikuwa hv Na Kule S.A Maisha Yaliendelea... Ila Kusudi La Mungu Lilitimia TU...