Nusu kilo ya wanga mfano wali inanenepesha kuliko nusu kilo ya nyama mfano samaki, mbuzi, ng’ombe au Kitimoto kwa sababu kuu zifutatazo.
Nusu kilo ya wali ina ujazo wa nguvu au calories around 2000 hapo wakati nyama na samaki ni 600 mpaka 900 hapo.
Mwili wa binadamu unatumia nguvu Nyingi sana kumeng’enya protein hivyo ule mchakato tu unafanya mtu apungue lakini ni rahisi sana mwili kumeng’enya wanga.
Protein inajenga misuli ambayo pia misuli Hiyo husaidia kuchoma Mafuta lakini wanga na wenzake wanahifadhi mafuta zaidi kwa kutumia homoni ya insulini.
Hata mtu akila calories 2000 za wali na mwingine akala 2000 za protein bado matokeo ni tofauti.
Profesor Janabi anapowaambia mpunguze au muache kula wanga na sukari anataka kuwasaidia.😊
Kadri unavyozidi kupigwa na mwanga wa jua ndio ngozi yako inazidi kutengeneza pigment ya melanin ili kukuzuia na Saratani ya ngozi hivyo kukufanya uwe mweusi zaidi.
Huhitaji kujichubua au kua na skin care routine kua na rangi nzuri, unahitaji kushi maisha ambayo hukutani sana na jua, maji mengi na diet nzuri.
Mnaojichubua na kushinda juani kwasababu mbali mbali za kimaisha, saratani inawasubiri. Ngozi zenu hazina uwezo wa kuwalinda.
@tallan_malique@Millambo_@CosmasKyan Haswa kwa watoto chin ya miez 6 haishauriw tumbo lao haliwez ku digest maziwa ya ng'ombe vizur na wenye lactose intolerance otherwise anakunywa tu Bila shida mtu yeyote