Matokeo makubwa hayatokani na jambo moja kubwa,bali na mambo madogo yanayofanywa kwa uaminifu kila siku.
•Kusoma kidogo kila siku hujenga maarifa.
•Kuweka akiba kidogo kila mwezi hujenga mtaji.
•Kuomba kila siku hujenga imani.
•Kufanya kazi kwa nidhamu hujenga mafanikio.
Nimekutana na Mwana mmoja nilipiga nae kitabu viwanja vya Rucu pale yuko kuna pharmacy anapiga kazi
Akanambia oy mwanangu Beno maisha magumu kinoma , huwezi amini leo kuna mother kaja pharmacy akataka dawa nikamtajia na bei ya full dose na nusu dose ila akaomba nimpunguzie bei ya hizo dawa
Anakwambia yule mother kajieeleza hadi ikabidi mwana azinunue kwa pesa yake ya akiba zile dawa then ampatie tu aende🥹🙌
Ukipata nafasi na uwezo wakumsaidia mtu msaidie tu🙏
THE ART OF TIMING
Watu wengi huamini kwamba kila kitu kizuri kinapaswa kutokea mara tu wanapokuwa tayari kukitaka. Tunajipangia muda wetu. Tunatengeneza matarajio yetu. Ndani yetu tunaamua lini jambo fulani linapaswa kutokea.
A BEAUTIFUL THREAD 🧵
Tulianza October 2025 na Kutuma simu piece moja, Charger moja, protector na Cover Dubai-to-Africa.
Leo tunatuma Box Moja au Mbili kwa Week.
Ngumu sana maana inabidi uwaeke watu na wakuamini.
Kuna siku tutatuma Box 10 au 100 ama 1000 kila siku.
Ahsante kwa kuwa sehemu ya hii Safari
✈️🫶🏾🫡 #GabyLovesDubai
Nenda Youtube Search “Meta ads full tutorial”
kamua kweli, summarize mchimbo kama uko PGM au PCB A’level
Practice uza hata product au service ya mtu
Ndo utakavoanza kupta 10k yako ya kwanza ONLINE, 50K,100k etc
#MadiniYaGaby