@MariaSTsehai Sasa hivi sio Swala la kujadili maandamano,maridhiano Wala kampeni za kususa kinachotakiwa kufanyika ni kusikia tamko kutoka Kwa mkuu wa majeshi kuponya na kuwa weka sawa wale walioondokewa na wapendwa wao siku ya maandamano na kuwasikiliza vijana na wananchi wanataka Nini?