#OnThisDay in 2⃣0⃣1⃣9⃣ we visited Tanzania to face Simba SC in a friendly 🇹🇿
An unforgettable experience sharing football and friendship with our Tanzanian friends ❤️🤍
@kasesco_tz Majibu ya hili swali yapo kwenye Biblia. Ukisoma kitabu cha Hesabu Mungu alimwambia Musa maneno haya "Bwana akamwambia Musa, Jifanyie nyoka ya shaba, ukaiweke juu ya mti, na itakuwa kila mtu aliyeumwa, aitazamapo ataishi" so nyoka ishara ya uponyaji
Sad hii ndio shida yetu wengi tukiwepo sehemu zenye fursa, tunataka kuonekana tupo hapo ila tupate picha zakupost na story za kusimulia ila hatufaidiki na chochote kifursa
Sitaki sema Jemedari alimkuta Juma Offguard but trust me chukua waandishi wote waliokuwepo kwenye huu msafara wa Rio, hata ule wa Drogba na mingine mingi itakayokuja na uwaulize same questions amini hawatakua na positive context wala majibu ya maana zaidi ya kuruka ruka
Nazijua changamoto za wanahabari na maripota (nimeishi huko) ila kuna muda tunatakiwa kujua aim ya msingi ya kila tunachofanya au kushiriki na sio tu kuonekana ulikuwepo au ulishiriki halafu basi utaishia kupost tu picha na kuhadithia kwa wanao
Content creators wanapata content kwenye mambo kama haya sababu ya field yao ila Mwanahabari ambaye amekua kwenye msafara wote amesikiliza speechs, amefanya interview lakini still hana anything ya maana yakuzungumzia ziara aliyoishiriki
🚶🏾♂️kazi ipo
Hii ndio inavyotakiwa, wastaafu watoe matamko kama haya ya kuweza kuli-shape taifa na watawala. Hamkuiacha Tanzania ilivyo leo, Tupo kwenye hali ya hatari Amka!