Ukishaanza kupeleka women that you are not in relationship with to restaurant dates in a bid to win them just quit hii mambo ya mapenzi while you still have dignity,sio must.
Nimeskia kanisa wakisema wazee wabaki kidogo father anataka kuongea nao ,Mimi Sina pesa ingine isipokua 750ksh ya kununua maini ya kuchoma . Nimeondoka kama wamama wenzangu.