Nimeshiriki katika Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichoongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan Ikulu ya Chamwino Jijini Dodoma.
🗓 26.05.2025
Nimeshiriki katika Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichoongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan Ikulu ya Chamwino Jijini Dodoma.
🗓 26.05.2025
*WASIRA AFAFANUA KUONGEZA DENI LA TAIFA, AMTETEA RAIS DK.SAMIA*
Na Mwandishi Wetu, Maswa
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema nchi inakopa kwa ajili ya kufanya mambo tukayoishi nayo na faida zake zitakuwepo kwa miaka mingi kwa kizazi cha sasa na hata kijacho.
Amesema deni lililopo la Sh. trioni 97 sio kwamba lote limekopwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan bali limekuwepo tangu enzi za Rais wa kwanza, Hayati Mwalimu Julius Nyerere.
Wasira ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na wanachama pamoja na viongozi wa CCM Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu katika kikao cha ndani kikiwa sehemu ya ziara yake ya kikazi mkoani humo yenye lengo la kukagua uhai wa Chama, utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM na kusikiliza kero za wananchi.
“Tunakopa ili kufanya jambo ambalo tutaishi nalo na faida zake kwa miaka mingi kizazi hiki na hata kizazi kijacho na lile deni sio kwamba amekopa Rais Samia trilioni 97 sio kweli, lile deni linaongezeka na madeni mengine ya zamani ambayo tulishakopa tangu enzi za Nyerere, alichukua miaka 40 kuanza kulipa nayo yamo katika hesabu," amesema.
#kazinaututunasongambele
@HecheJohn Kwa kumalizia, ingekuwa matokeo ya mikopo inaashiria kuwa ni isiyo na tija kwa Taifa letu hapo yangezungumzwa mengine.
Otherwise, serikali imepiga hatua kubwa sana. You need to look at the other side of impacts badala ya numbers.
@HecheJohn Wastani hautafutwi kirahisi hivyo kwenye suala lenye dimension nyingi.
Yawezekana pia wakati huo nchi yetu haikuwa na uwezo wa kukopesheka kiasi kikubwa kama ilivyo sasa. Na huko kunaashiria ukuaji wa kiuchumi. Kaa ujifunze vizuri ili kuepuka mijadala usiyoifahamu kwa kina.
As WHO AFRO Regional Director, he will continue his mission; driving Africa’s health transformation through strong leadership, collaboration with member states, and other regional and global stakeholders.
J'ai passé ma carrière à travailler dans la médecine clinique, le leadership en santé publique et la diplomatie de la santé mondiale pour transformer les soins de santé en Tanzanie et au-delà. En tant que directeur régional AFRO @WHOAFRO , je poursuivrai cette mission ; conduire la transformation sanitaire de l'Afrique grâce à un leadership fort, une collaboration avec les États membres et d'autres parties prenantes régionales et mondiales.
TRANSLATION: I have spent my career working across clinical medicine, public health leadership, and global health diplomacy to transform healthcare in Tanzania and beyond. As WHO AFRO Regional Director, I will continue this mission; driving Africa’s health transformation through strong leadership, collaboration with member states and other regional and global stakeholders.
#WHO
#WHOAFRO
#JANABI4WHOAFRO
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira na Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Dk. Benson Bagonza, wamekutana na kuzungumza wilayani Karagwe Mkoa wa Kagera.
WASIRA, ASKOFU BAGONZA WAKUTANA, WATETA KARAGWE
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira na Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Dk. Benson Bagonza, wamekutana na kuzungumza wilayani Karagwe Mkoa wa Kagera.
Wasira na Dk. Bagonza wamekutana jana wilayani Ngara, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025, kusikiliza changamoto za wananchi pamoja na kuhutubia mikutano ya hadhara mkoani Kagera.
== ==
@MariaSTsehai@ayubu_madenge Shida kama ilikuwa mbowe but still haikumpa uhalali wa kutimkia CCM, angeondoka CDM na kuwa huru.
Shida ilikuwa maslahi yake binafsi kwa kutaraji kuwa angekuwa mgombea badala ya mzee ENL. TUSIPOTOSHE.
VIDEO:
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Antiphas Lissu ameamua kumtangaza aliyekuwa mgombea wa nafasi ya uenyekiti katika kijiji cha Ntalamila wilayani Nkasi mkoani Rukwa, ikidai kuwa alishinda katika uchaguzi huo na hakutangazwa
Lissu ameeleza kuwa katika uchaguzi huo mgombea huyo kupitia Chadema alipata kura 966 na mgombea wa CCM alipata 634.
Ndugu mtanzania mwenzangu, karibu tuungane kumtakia kila la heri Prof. Mohamed Janabi anapojiandaa kuiwakilisha nchi yetu 🇹🇿 kugombea nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika Afya Duniani (WHO) kwa Kanda ya Afrika zoezi litakalofanyika Mei, 2025.
@ProfJanabi tunakutakia kila la heri na mafanikio 🇹🇿✍🏻