@EvanceMD@SelcomPesa Imakuaje kaka, mimi juzi waliniambia account iko hacked. Lakini nilichogundua ukiwasha vpn baadhi zibaleta changes kwenye simu App za pesa zinaanza kusumbua
@kirigitim Maeneo hayo kwa kiasi yameunganishwa na Mwendokasi hivyo ni rahisi kufika mbezi, kwa namna nyingine secta ya usafirishaji itachangamka sana kuanzia Mwendokasi, daladala Mpaka bodaboda.
Jumatatu - Nitakuwa nasajili mchezaji mmoja kipenzi cha mashabiki kila msimu.
Jumanne - Pesa ipo bank.
Jumatano - Tutaleta lipa namba ili mtusaidie mtuchangie kusajili mchezaji mwenye X Factor.
GSM - Yanga Bingwa.