Katika maisha utagundua umeanza kukua mpaka pale unapoanza kujichunguza, kujishauri na kujirekebisha kwa makosa uliyoyafanya, badala yake kuacha kulaumu watu wengine. Unawajibika kwa maisha yako mwenyewe.
Kila mtu anayule rafiki mpole mtu wa watu mwenye kujishusha na kuheshimu wakubwa kwa wadogo mwenye ana mind mambo yake tu hanaga stress za maisha akipata yeye furaha akikosa anashukuru usoni kwake halikosi tabasamu, Marafiki wa hivi muishii sana👊👊
Ni ngumu sana kuelewa, Ila kuna muda utalazimika kuachana na unaye mpenda ili uende kwa aliye sahihi, Japo inamaumivu makali lakini ndio Maisha yalivyo.