Today is the day that am gonna change my life for better and that everyone around me should be proud that am the blessing that God sent to save them. I am the beginning of my household and i shall never die a previous death .PERIOD
Wamasai na Wasukuma watakubali kweli kuuza mifupa kabla hawajachemsha supu ya kongoro🤣🙌?
Anyway, This is an eye opener. Pia ni alert kuwa kuna fursa kubwa kwenye ‘Value Addition’ kwenye bidhaa za mifugo na kilimo.
But, the post and comments show Africa is awakening!
Kama kuna issue Yoyote
Unapitia kwenye maisha yako sasa hivi...
Iwe ni
• Addiction,
• Mahusiano,
• Kugongewa,
• Hofu
• Issue za Kiroho
• Kufiwa, nk...
Nenda Google andika issue yako
then Mbele Ongezea "Reddit"
Mfano: "Nina tatizo la Kulala Usiku : Reddit"
Ila tumia Lugha ya Kingereza
Kama ni Lugha Gongana Hii haikuhusu 😄
Reddit kuna 90% ya Kila Solution
Unayopitia sasa hivi... Kuna watu
Walishapitia hiyo situation Miaka
10-30 Nyuma na wameandika Kule kitambo.
...
FRANCIS | ABRACADABRA
Mwezi February 2017, Paul Makonda akiwa mkuu wa mkoa Dar Es salaam, alinukuliwa akitoa siku 10 kwa wazazi jijini Dar kung’amua kama watoto wao wanatumia au hawatatumii dawa za kulevya.
Siku chache baadaye, Venance Mabeyo akateuliwa na rais Magufuli kuwa mkuu wa majeshi nchini.
Kuna huu mfumo mpya wa TRA unaitwa EDRAS... 😂😂😂
Kiufupi usipokuwa na NIDHAMU ya Pesa kwa kuandika mapato na matumizi, hakika unaliwa kichwa!!
Ndugu Wafanyabiashara, chukueni muda pateni Elimu ya KODI mambo yamebadilika sana, msije kujilaumu siku za usoni.
🎬 Top 30 Saddest Movies of All Time That Can Make You Cry
1. Schindler's List, 1993
2. Titanic, 1997
3. The Green Mile, 1999
4. The Fault in Our Stars, 2014
5. Grave of the Fireflies, 1988
6. Atonement, 2007
7. Manchester by the Sea, 2016
8. The Pursuit of Happyness, 2006
9. Life Is Beautiful, 1997
10. Million Dollar Baby, 2004
11. The Boy in the Striped Pajamas, 2008
12. My Sister's Keeper, 2009
13. The Bridges of Madison County, 1995
14. The Elephant Man, 1980
15. Saving Private Ryan, 1998
16. Hachiko: A Dog's Story, 2009
17. The Color Purple, 1985
18. Brokeback Mountain, 2005
19. The Notebook, 2004
20. The Shawshank Redemption, 1994
21. Moonlight, 2016
22. Steel Magnolias, 1989
23. My Girl, 1991
24. Pieces of a Woman, 2020
25. Roma, 2018
26. My Life Without Me, 2003
27. Marriage Story, 2019
28. Marley & Me, 2008
29. Five Feet Apart, 2019
30. The Whale, 2022
Source: MasariShop
SOMO LA SADAKA.
Hakikisha unatoa sadaka, lakini sio sadaka ya mazoea au ya kuonyesha.
Watu wengi wanatoa, lakini hawajui wanatoa nini, kwa nini, na kwa roho gani. Ndiyo maana sadaka zao haziendi mbali, zinakuwa kama maji yanayomwagika ardhini.
Historia ya QR Code: Teknolojia Ndogo Iliyobadilisha Dunia ya Taarifa
QR Code (Quick Response Code) ni teknolojia tunayoiona kila siku iitwapoleo kwenye malipo ya simu, mabango, bidhaa madukani na hata vyeti. Lakini watu wengi hawajui ilianzia wapi na kwa nini iliundwa.
𝐌𝐚𝐫𝐜𝐡 𝟗 𝟐𝟎𝟏𝟖
𝐕𝐨𝐝𝐚𝐜𝐨𝐦 𝐇𝐞𝐚𝐝𝐪𝐮𝐚𝐫𝐭𝐞𝐫𝐬
𝐃𝐚𝐫 𝐄𝐬 𝐒𝐚𝐥𝐚𝐚𝐦
Siku hii majira ya mchana, James Lisawa Wawenje ambaye ni afisa usalama wa kampuni ya mawasiliano ya Vodacom, anapokea barua inayotoka kwa mkuu wa upelelezi wa mkoa wa Simiyu
My Top 10 favorite action movies of the year:
1) Havoc
2) Nobody 2
3) Gladiator Underground
4) The Shadow's Edge
5) Sisu: Road to Revenge
6) A Working Man
7) Affinity
8) Ghost Killer
9) Demon City
10) Mantis
Kuna siri fulani kuhusu UTAJIRI ambao hua hausemwi kbs
Mara nyingi, ukijifanya kuwa mwema na mwadilifu kupita kiasi, utachelewa sana kufanikiwa kifedha
Matajiri wengi hupindisha sheria, hucheza michezo mirafu, mbaya zaidi hiyo michezo michafu, common mwananchi kamwe hutaijua