๐จโผ๏ธMHE. TUNDU LISSU AMEWASILISHA MAOMBI KWA HATI YA DHARURA MAHAKAMA YA RUFANIโผ๏ธ
Tundu Lissu amewasilisha maombi mbele ya Mahakama ya Rufaa akiomba kusikilizwa kwa haraka kwa kesi yake ya uhaini,
Kwasababu hali yake kiafya inazidi kuzorota, anahitaji kupatiwa matibabu ya kina lakin Uongozi wa Magereza hautaki kumpa Haki hiyo.
REPOST 200