Taarifa.
Ninayo furaha kutambulisha rasmi jarada la Album ya tatu ya Dizasta Vina itakayoitwa A FATHER FIGURE.
Album hii yenye jumla ya nyimbo 20 itatoka rasmi tarehe 06.01.2024
Sambaza Habari. #AffAlbum
Sasa unaweza kulipia mapema album ya A FATHER FIGURE itakayotoka rasmi tarehe 06.01.2024.
Album itakuwa kwa mfumo wa soft copy na very limited hardcopies
BEI YA ALBUM NI KUANZIA TSH.10,000/=