Jifunze Namna ya Kuedit Vintage Tone Sehemu ya pili
Kuhusu vintage nishaeleza kwenye sehemu ya kwanza kama ulipitwa iko pinned post yangu kapitie utaelewa nini maana ya vintage. Aina hii ya vintage (Kodack vintage) inapendwa kutumiwa sana na wasanii na watu maarufu ππ
Jifunze Namna ya Kuedit Vintage Tone (B & W Vintag) kwa kutumia Mobile Lightroom
Vintage Tone au film tone kwenye picha ni style ya zamani ilikuwa inatumika sana kwenye picha ila siku hizi imekuwa kama fashion kwa wasanii na watu maarufu wanapenda kutumia vintage kwenye picha zao
Kinachofanywa na baadhi ya wadau na mashabiki, hususani wa Yanga SC kuhalalisha madhambi aliyochezewa Henock Inonga beki wa Simba jana kwenye game dhidi ya Coastal kwamba alistahili kwa sababu na yeye aliwahi kucheza faulo mbaya. Ni ujinga na ushamba kuhalalisha kosa kwa kosa.
Ndugu zangu Watanzania, kutokana na ugonjwa wa Corona, nawaomba tutumie siku 3 za kuanzia tarehe 17- 19 Aprili, 2020 {Ijumaa, Jumamosi na Jumapili} KUMUOMBA MWENYEZI MUNGU aliye muweza wa yote atuepushe na janga la ugonjwa huu. Tusali kwa kila mmoja kwa imani yake, atatusikia.